Pambano Kuu: Chanzo cha Uovu na Ushindi wa Mungu
Kwa nini kuna dhambi, maumivu na mateso kama Mungu ni mwema? Somo hili la Imani ya Msingi Na. 8 linachunguza chanzo cha Pambano Kuu, wahusika wake, mbinu za Shetani na mpango wa Mungu wa kutupatia ushindi.
Ndani ya PDF hii
- Muhtasari
- Utangulizi
- Mwonekano wa Athari za Pambano
- Mungu Hakuanzisha Pambano Hili
- Mwasisi wa Pambano Kuu
- Kuasi kwa Lusifa
- Wahusika katika Pambano Kuu
- Mbinu Zinazotumika katika Pambano Kuu
- Kitabu
- kurasa 34
- Kiswahili
Umefika mwisho wa Kurasa za Mwanzo
Pata PDF kamili usome yote — kwenye simu, kompyuta au uichapishe.
PDF hii inapatikana kwa kununua
Nunua mara moja na uisome kwenye simu, kompyuta au uichapishe.



Makala zinazohusiana

Kwa Nini Mungu Alimuumba Lusifa?
Ingawaje Biblia inavidokezo vichache kuhusu Swali hili, bado hata hivyo haiwezekani kulitolea jibu linalotosheleza katika ukamilifu wake. Mada hii haijashughulikiwa kwa uwazi na kwa kina…

Je, Sabato Ilikoma kwa Kuwa Ilikuwa Kivuli cha Mambo Yajayo?
Kuna mafundisho yanayoenea kwamba Sabato ilikuwa ni kivuli cha mambo yajayo, na hivyo haina tena umuhimu kwa Wakristo. Wengine hudai kwamba kwa kuwa Kristo amekuja, hakuna haja tena ya…

Sanduku la Agano: Je, Litaonekana Tena?
Kwa maelfu ya miaka, Sanduku la Agano limekuwa moja ya mafumbo makubwa ya historia ya Biblia. Je, sanduku hili takatifu, ambalo lilihifadhi Amri Kumi, litaonekana tena mbeleni au limepotea…