Je, Sabato Ilikoma kwa Kuwa Ilikuwa Kivuli cha Mambo Yajayo?
Kuna mafundisho yanayoenea kwamba Sabato ilikuwa ni kivuli cha mambo yajayo, na hivyo haina tena umuhimu kwa Wakristo. Wengine hudai kwamba kwa kuwa Kristo amekuja, hakuna haja tena ya…
Ndani ya PDF hii
- Asili ya Sabato
- Sabato iliongezewa maana ya pili hapo baadaye
- Kivuli cha Mambo Yajayo ilikuwa ni nini?
- Tofauti ya Sabato na Sabato
- Yesu Alitunza Sabato na Mitume Waliitunza Sabato pia
- Sabato: Alama ya Uumbaji na Ukombozi
- Hitimisho
- kurasa 8
- Kiswahili
Umefika mwisho wa Kurasa za Mwanzo
Pata PDF kamili usome yote — kwenye simu, kompyuta au uichapishe.
PDF hii inapatikana kwa kununua
Nunua mara moja na uisome kwenye simu, kompyuta au uichapishe.



Makala zinazohusiana

Papa Gregory XIII Alipobadilisha Kalenda: Siku Zilivurugwa, Sabato Ilipotea?
Mamilioni ya watu leo hii, wanashikilia ufahamu kwamba ni vigumu sana kujua hasa kwamba siku ya Jumamosi ni lini kwa sababu wakati flani katika kalenda, kuna siku zilipotea kutokana na…

Sanduku la Agano: Je, Litaonekana Tena?
Kwa maelfu ya miaka, Sanduku la Agano limekuwa moja ya mafumbo makubwa ya historia ya Biblia. Je, sanduku hili takatifu, ambalo lilihifadhi Amri Kumi, litaonekana tena mbeleni au limepotea…

Nini Hasa Maana ya Kibiblia ya Maneno ya Baba: “Mimi Leo Nimekuzaa”?
Biblia inatoa rejea kadhaa zinazoonyesha matukio kadhaa ya kuzaliwa kwa Yesu. Pia kuna wakati inarejea mazungumzo yaliyofanyika kati ya Mungu Baba na Yesu, ambayo yanaonyesha Yesu alizaliwa…