Je, Yesu ni “Mungu Mwana” au “Mwana wa Mungu”?
Miongoni mwa wengi wanaojifunza habari za mahusiano yaliyopo kati ya Mwana na Baba, hawapendi kumuita Yesu kwa kutumia jina “Mungu Mwana,” badala yake wanapenda kumuita "Mwana wa Mungu."…
Ndani ya PDF hii
- Utangulizi
- Matumizi ya jina “Mwana wa Mungu”
- Matumizi ya Jina “Mungu Mwana”
- Wapi katika Maandiko kuna Ufafanuzi wa Matumizi ya Jina “Mungu Mwana”?
- Video
- kurasa 6
- Kiswahili
Umefika mwisho wa Kurasa za Mwanzo
Pata PDF kamili usome yote — kwenye simu, kompyuta au uichapishe.
PDF hii inapatikana kwa kununua
Nunua mara moja na uisome kwenye simu, kompyuta au uichapishe.



Makala zinazohusiana

Nini Hasa Maana ya Kibiblia ya Maneno ya Baba: “Mimi Leo Nimekuzaa”?
Biblia inatoa rejea kadhaa zinazoonyesha matukio kadhaa ya kuzaliwa kwa Yesu. Pia kuna wakati inarejea mazungumzo yaliyofanyika kati ya Mungu Baba na Yesu, ambayo yanaonyesha Yesu alizaliwa…

Je, Sabato Ilikoma kwa Kuwa Ilikuwa Kivuli cha Mambo Yajayo?
Kuna mafundisho yanayoenea kwamba Sabato ilikuwa ni kivuli cha mambo yajayo, na hivyo haina tena umuhimu kwa Wakristo. Wengine hudai kwamba kwa kuwa Kristo amekuja, hakuna haja tena ya…

Sanduku la Agano: Je, Litaonekana Tena?
Kwa maelfu ya miaka, Sanduku la Agano limekuwa moja ya mafumbo makubwa ya historia ya Biblia. Je, sanduku hili takatifu, ambalo lilihifadhi Amri Kumi, litaonekana tena mbeleni au limepotea…